Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika inatarajiwa kufanyika Oktoba 06 huko Johanesburg Afrika Kusini
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga watakuwa pot ya tatu sambamba na TP Mazembe, Al Hilal na Asec Mimosas
Pot 1 itakuwa na timu za Al Ahly, Mamelodi Sundowns, Wydad Athletic na Esperance
Pot 2 itakuwa na timu za Pyramids, Petro Atketico, CR Belouisdad na Simba
Pot 4 itakuwa na timu za Etoile Sahel, Jwaneng Galaxy, Fc Nouadhibou na Medeama
Kundi ambalo Yanga itapangwa litakuwa na timu moja kutoka Pot 1,2 na 4
Post a Comment