Usajili: Simba wanakitaka hiki chuma

Banfa Sylla.

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Taarifa za kuaminika ni kuwa Uongozi wa Simba unaendelea na mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa MAS Fes, Banfa Sylla ili kuipa saini ya mchezaji huyo dirisha lijalo la usajili.


Simba bado inahitaji saini ya Banfa Sylla dirisha lijalo la usajili na hawajaondoka kwenye mbio za kupata saini ya kiungo huyo fundi wa mpira, ambapo walikosa saini ya Banfa Sylla dirisha lililopita la usajili.


Banfa Sylla inatajwa kukubali kujiunga na Simba, maamuzi yamefanyika baada ya kukaa na wakala wake ili kuondoka nchini Morocco.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post