Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi
Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi za Yanga, amesema uzi huo ni bora zaidi ya ule waliotumia kwenye kombe la Shirikisho msimu uliopita
Sheria amejipambanua kwa ubora wa kazi yake kwani tangu aanze kubuni jezi za Yanga hajawahi kuwaangusha Wananchi
Post a Comment