Simba yazindua uzi wa Super Ligi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Klabu ya Simba leo imetambulisha jezi zitakazotumika kwenye michuano ya African Football League (AFL) inayotarajiwa kutimua vumbi kuanzia Oktoba 20, mchezo kati ya Simba dhidi ya Al Ahly ukipigwa


Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema, Mdhamini Sandaland ameona haitapendeza Simba kwenda kushiriki michuano mikubwa pasipo kuwa na jezi maalum


Ahmed amesema jezi hizo zitaanza kupatikana leo katika maduka yote ya Sandaland

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post