Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba zinasema kuwa, viongozi wa timu hiyo bado wanaendelea kufuatilia kwa karibu Kiwango cha Yahya Mbegu wa Singida Fountain Gates.
Ikumbukwe kuwa Simba hapo awali walikuwa wakihitaji huduma ya beki huyo wakushoto lakini Yeye aliamua Kujiunga na Singida Fountain Gate mwanzoni mwa msimu huu.
Mbegu anatazamiwa kwenda Simba kuwa msaidizi wa Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwenye safu ya ulinzi hususan beki wa kushoto.
Post a Comment