Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kikosi cha Simba kitaondoka nchini jioni ya leo kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano African Football League dhidi ya Al Ahly
Mchezo huo wa kuamua timu ya kutinga nusu fainali utapigwa Jumanne, Oktoba 24 huko Misri
Simba inakwenda Misri ikiwa na lengo moja, kusaka matokeo muhimu yatakayowavusha nusu fainali baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza kumalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2
Post a Comment