Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Taarifa kutoka Afrika Kusini zimethibisha kuwa Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klab ya Simba Pablo Franco Martin ameandika barua ya kuomba kuachana na waajiri wake Klab ya Amazulu inayoshiriki ligi kuu ya Afrika kusini.
Taarifa hizo zinathibitisha kuwa kocha Pablo Franco Martin yupo katika hatua za Mwisho kujiunga na Walima Alizeti 'Singida Big stars',
Huku ikifahamika kuwa Mshahara Mnono aliowekewa na klab ya Singida ni moja kati vishawishi kwake kocha huyo wa zamani wa Simba Sc,
Mpaka kufikia Jumanne Pablo atakuwa Tanzania kutambulishwa na Matajiri kutoka Singida.
Post a Comment