Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly ya Misri hauna goli la Mama kutokana na matokeo ya mabao 2-2.
Msigwa amesema hayo jana baada ya kumalizika kwa mchezo wa African Football League kati ya Simba na Ahly ambao ulimalizika kwa sare ya bao 2_2 katika Dimba la Mkapa.
Pia, ameeleza kuwa kama Wizara wamejifunza namna ya kuandaa matukio makubwa ya mpira wa miguu.
Aidha, Msigwa ametoa rai kwa mashabiki kuwa watunze miundombinu ya Uwanja kwani Serikali imefanya kazi kubwa na nzuri.
Post a Comment