Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Michuano ya African Football League itaanza kurindima katika mechi ya ufunguzi kati ya Simba SC na Al Ahly ya Misri, Ijumaa hii Oktoba 20, 2023 katika Dimba la Mkapa.
Mafanikio ya timu nane ambazo zinazoshiriki michuano ya African Football League (AFL) kwenye mashindano ya CAFCL.
✅ Al Ahly ya Misri - Misri - Mkombe 11
✅ TP Mazembe ya Cobgo DR - Makombe 5
✅ Esperance ya Tunisia - Makombe 4
✅ Wydad Casablanca ya Morocco - Makombe 3
✅ Enyimba ya Nigeria - Makombe 2
✅ Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini - Kombe 1
❌ Petro de Luanda ya Angola - Makombe 0
❌ Simba SC ya Tazania - Makombe 0.
Post a Comment