Kundi la Simba Sc Klabu Bingwa Afrika 2023 CAF Champions League Group Stage 2023/2024,

 

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo huko Afrika  Kusini ambapo Simba imepangwa kundi B


Kundi A lina Nouadhibou, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns na Pyramids


Kundi B lina Jwaneng Galaxy, Asec Mimosas, Simba na Wydad Athletic


Kundi C lina Etoile Du Sahel,  Al Hilal, Petro Atletico na Esperance


Katika kundi D Yanga itachuana na Al Ahly (Misri), Medeama (Ghana) na CR Belouizdad (Algeria)


Mechi za hatua ya makundi zitaanza kupigwa Novemba 24/25 mwaka huu

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post