Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly.
Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly. Imethibitishwa Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya soka Duniani atakuwepo kwa Mkapa.
Post a Comment