Kiemba: Al Ahly kuja na mapipa sio uoga, wenzetu wako mbali

 Amri Kiemba azungumzia ujio wa Ahly

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Wakati Mashabiki wa soka nchini wakishangazwa na ujio wa Al Ahly ambao wanjiandaa kuikabili Simba leo Ijumaa Oktoba 20.


Mchambuzi wa Soka kutoka Clouds FM anasema jambo hilo sio la kushangaza kwa vilabu ambavyo vimeendelea.


Akizungumza Kiemba anasema;


“Al Ahly kuja na mapipa sio kama hawajiamini ,ni sehemu ya maandalizi hawahitaji sababu iwe ni kukosekana kwa kitu fulani ,mchezo wa mpira wa miguu kichwa ndio nguzo ,mwili ni kama chepe kwenye kuchotea likiwa lenyewe haliwezi na wao hawataki usumbufu ndio maaan wamekuja na kila kitu kipo kwenye mstari “


“Na hii ni kuonyesha kwamba wenzetu wapo mbali sana, wenzetu tangu miaka ya nyuma wanalifanyia kazi kwamba eneo la ubongo ni eneo muhimu sana kwenye mapambano ya mpira wa miguu , mimi naona sio uoga isipokuwa ni utaratibu ndio unavyotaka kwa timu “

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post