Hili hapa kombe la African Football league ( AFL )

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 
Rais wa Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) Patrice Motsepe leo ametambulisha kombe ambalo atakabidhiwa bingwa wa michuano ya African Football League inayoanza leo


Akizungumza na wanahabari katika Mkutano maalum mapema leo, Motsepe alisema michuano hii inalenga kuziwezesha klabu za Africa kuwa na uwezo wa kiuchumi


Aidha amesema kuanzia msimu ujao michuano hii itashirikisha timu 24 ambapo vigezo vitakavyotumika na=i 'ranking' za CAF na mafanikio ya klabu katika ligi ya ndani


Simba na Al Ahly zinazindua michuano hiyo leo katika mchezo wa kwanza wa robo fainali utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 12 jioni

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post