Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London.
Bao pekee la Gabriel Martinelli dakika ya 86 jana liliipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates Jijini London. Ushindi huo unaifanya Arsenal ifikishe pointi 20 katika nafasi ya pili, ikiizidi pointi mbili Manchester City huku ikizidiwa tu wastani wa mabao na vinara Tottenham Hotspur.
Post a Comment