Ali Kiba kupiga Shoo ufunguzi African Footbal League

 Ali Kiba kupiga Shoo ufunguzi African Footbal League

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Kiba atatoa burudani siku ya uzinduzi wa mashindano makubwa Barani Afrika ya African Football League.


Mashindano hayo yanatarajia kuanza rasmi Oktoba 20 kwa mechi moja kati ya Simba (Tanzania) dhidi ya Al Ahly (Misri) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Da es Salaam.


Mechi hiyo inatarajia kuonekana Live kupitia App yetu 


 ðŸ‘‰ðŸ‘‰ðŸ‘‰BONYEZA HAPA kuidownload App itakayo kuwezesha kuzitazama mechi zote Live kupitia Simu yako bofya sasa au ingia playstore andika nijuze Tv

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post