Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imeendelea kuitikisa Afrika kwenye mitandao ya kijamii ikiwa klabu iliyofuatiliwa zaidi katika mtandao wa Instagram kwa mwezi August 2023
Takribani watu Milioni 10.1 wametembelea ukurasa rasmi wa Yanga kwa mwezi August ikishika nafasi ya kwanza
Katika orodha ya timu tano zilizofuatiliwa zaidi, Simba ya Tanzania inashika nafasi ya pili wakati vigogo wa soka barani Afrika Al Ahly wakishika nafasi ya tatu
Raja Casablanca imeshika nafasi ya nne wakati Wydad wakikamata nafasi ya tano
Yanga pia imeendelea kufanya vizuri Youtube chaneli yake ikiwa miongoni mwa chaneli tano zilizofuatiliwa zaidi Tanzania
Post a Comment