Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema mchezo wao wa marejeano dhidi ya Al Merekh ya Sudan siku ya Jumamosi Septemba 30, 2023, wameupa jina la Ki Day.
Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo hii leo Septemba 26, 2023, Kamwe aliwataka mashabiki kuja kimtoko wa Aziz Ki katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar kuishangilia timu yao.
"Hii itakuwa ni Ki Day, siku hiyo naomba mashabiki wote tuvae bukta sasa mtasema sijui sina mguu wa kuvaa bukta hapana kila mtu anao mguu wa kuvaa bukta.
Post a Comment