Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imechaguliwa kuwa timu bora ya wiki ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) round ya pili, mechi za klabu Bingwa zilizochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kupitia mtandao wa Twitter (X) na Facebook wa Africa Soccer, Yanga ilipata jumla ya asilimia 65% ya kura ikifuatiwa na Mamelodi Sundowns waliopata asilimia 32%, Madeama asilimia 2% na FC Nouadhibou asilimia 1% na kura zilizopigwa katika mtandao huo zilikuwa 21,142.
Hii imechagizwa na kiwango chao bora dhidi ya Al Merreikh ambapo iilibuka na ushindi wa bao 2-0 ugenini lakini pia kitendo cha mashabiki wao wengi kusafiri hadi Rwanda ili kuisapoti timu timu yao.
Post a Comment