Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kesho Alhamisi, Septemba 21 2023, Simba itashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Uongozi wa Simba umetangaza viingilio vya mchezo huo ambao Simba imepania kuibuka na ushindi ili kuendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 katika ligi kuu ya NBC msimu huu
VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Post a Comment