Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Young Africans Salum Aboubakar 'Sure Boy' Mkataba wake wa sasa na Waajiri Wake Young Africans Unaelekea Ukingoni Mwa Mwezi wa 12 Mwaka huu.
Tayari Uongozi wa Klabu hiyo umekaa chini na Mchezaji huyo Kwa Ajili ya Kuboroesha Mkataba wake Mpya.
Tetesi za awali ni kuwa Uongozi wa Klabu ya Azam FC Nao Unashinikiza Kumrejesha tena Kiungo Huyo Kwa Mara Nyingine Kwenye Klabu yao Huku Wakimuahidi Donge Nono la Pesa.
Post a Comment