Taarifa Mpya kutoka Yanga Asubuhi hii

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika, Klabu ya Yanga leo itakuwa na Mkutano na Wanahabari, Salamander Tower, saa 7 mchana


Wananchi wana shauku kubwa ya kufahamu utaratibu wa kusafiri ya timu Rwanda kwa ajili ya mchezo dhidi ya El Merrikh utakaopigwa Septemba 16


Kupitia mkutano huo, Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe atatangaza utaratibu na mipango mikakati mingine kuelekea mchezo huo ambao Yanga inahitaji kushinda

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post