Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Katika taarifa iliyotolewa na Simba, Manula anatarajiwa kufanya mazoezi kwa kipindi cha wiki kabla ya kurejea rasmi uwanjani
Manula alikuwa nje ya uwanja tangu mwisho mwa msimu uliopita baada ya kupata majeraha ya nyama za paja, lakini sasa daktari wa Simba, Edwin Kagabo amesema anahitaji wiki tatu tu kuungana na wenzake uwanjani
Kama kila kitu kinakwenda sawa, Manula anaweza kuiwahi mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya mabingwa mara 10 wa Afrika, Al Ahly ya Misri, Kwa Mkapa, Oktoba 20
Manula pamoja na kuanza mazoezi mepesi ya uwanjani, lakini tangu Julai alikuwa ameanza mazoezi binafsi ya gym huku akionekana kurejea haraka kuliko matarajio
Post a Comment