Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tanzania imefanikiwa kufuzu fainali za Afcon 2023 baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Algeria
Tanzania ilihitaji alama moja kuweza kujihakikishia tiketi, ikiwa imefikisha alama nane katika nafasi ya pili kundi E
Licha ya ushindi wa mabao 2-0 ambao Uganda wameupata dhidi ya Niger, matokeo hayo hayakuweza kuwatosha kujihakikishia tiketi ya Afcon
Hii ni mara ya tatu Tanzania inafuzu michuano ya Afcon ikifanya hivyo mwaka 1980,2019 na sasa 2023
Hongera wachezaji Stars na benchi la ufundi kwa kuipeleka Stars Ivory Coast
Post a Comment