Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba leo imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Cosmopolitan FC katika uwanja wake wa Mo Simba Arena uliopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es saalam
Matokeo ya mchezo huo ni kuwa Simba imeibuka na ushindi wa mabao 5-1. Mabao ya Simba yalifungwa na Moses Phiri, Jean Baleke, Willy Onana, Aubin Kramo na Shaban Idd Chilunda
Huo ni mchezo wa pili wa kirafiki kwa Simba katika kipindi cha siku nne. Siku ya Jumamosi Simba iliichapa Kipanga Fc mabao 3-0 katika mchezo mwingine wa kirafiki yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Power Dynamos
Post a Comment