Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Serengeti Girls yamefungwa na Masika Khing na Sabina Alex, wakati la Morocco limefungwa na Bentahri Ovafaa na timu hizo zitarudiana Jumatatu hapo hapo Azam Complex.
Post a Comment