Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Derby ya Jiji la Madrid imemalizika kwa ushindi wa 3-1 kwa Atletico Madrid dhidi ya mahasimu wao wakubwa Real Madrid katika dimba la Metropolitano.
Mabao ya Atletico yamefungwa na Morata aliefunga mawili 4’ 46’, Griezman 18' huku bao pekee la Madrid likifungwa na Toni Kroos.
Real Madrid imeshindwa kurejea kileleni kufuatia kipigo hicho cha kwanza cha msimu na inasalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Laliga alama 15 baada ya mechi 6.
Atletico Madrid inasalia nafasi ya 5 ikiwa na alama 10 baada ya mechi 5.
Post a Comment