Novatus Dismas kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Novatus Dismas Miroshi mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine akitokea klabu ya Zulte Waregem ya Ubelgiji


Novatus atacheza UEFA Champions League akiwa na Shakhtar


Mabingwa hao wa Ukraine wapo kundi H pamoja na timu za Barcelona, Porto na Royal Antwer


Atakuwa Mtanzania wa pili kucheza michuano hiyo mikubwa zaidi kwa ngazi klabu barani Ulaya baada ya Mbwana Samatta aliyewahi kushiriki michuano hiyo akiwa na KRC Genk

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post