NBC yaidhamini Ligi ya Championship, yazindua logo mpya

 NBC yaidhamini Ligi ya Championship, yazindua logo mpya

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Benki ya NBC leo, Septemba 7, 2023 imezindua logo mpya ya ligi ya Championship ambayo watakuwa wadhamini wakuu na ligi hiyo na itakuwa ikifahamika kama NBC Championship League.


Hata hivyo thamani halisi ya mkataba kwa Championship haijawa wazi kutokana na muundo wa Udhamini wa NBC mpaka pale TFF watakapo tangaza baada ya kukaa na kuzigawanya fedha hizo.


Itakumbukwa kuwa mwezi wa 8 mwaka huu, Benki hiyo ilitangaza kuongeza mkataba wa udhamini kwa miaka mitano na shirikisho la soka Tanzania (TFF) ambao una thamani ya Tsh Bilioni 32.56, mkataba ambao unahusisha kudhamini, Ligi kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza (Championiship) na Ligi kuu ya Vijana kuanzia msimu huu 2023/24 mpaka msimu wa 2027/28.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post