Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kipengele kwenye kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara kutafuta mfungaji bora ikitokea wachezaji wamelingana magoli.
Goli lisilo la Penati - Point 2
Goli la Penati - Point 1
Ikitokea wote wana magoli ya penati zitahesabiwa points kama unavyoona hapo juu,
It means mwenye magoli mengi ya penati atakosa tuzo ya ufungaji bora..
Atakuwa na points chache Zaidi ya mwenzake, Je unadhani kwa vigezo hivi nan ataibuka mfungaji Bora?
Post a Comment