Mechi ya Simba vs Coastal Union Kupigwa September 21

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Coastal Union ambao ulisogezwa mbele kupisha kalenda ya FIFA, umepangwa kupigwa Septemba 21 katika uwanja wa Uhuru

Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi mapema leo imebainisha kuwa tarehe hiyo inaweza kubadilika kama CAF itathibitisha uwepo wa mechi za mashindano ya CHAN yanayohusisha wachezaji wa ndani

Kulingana na kalenda ya CAF, mechi hizo zinapaswa kuanza mwishoni mwa mwezi Septemba 2023

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post