Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo huo umepangwa kupigwa Septemba 16 na mchezo wa marudiano kupigwa jijini Dar es salaam Septemba 29
Awali kulikuwa na taarifa kuwa El Merrikh waliomba kubadili uwanja kuupeleka mchezo huo nchini Morocco lakini ni wazi maombi hayo yamegonga mwamba
Ni rasmi sasa Septemba 16 Rwanda inakwenda kuwa ya njano na kijani kwani Wananchi watakuwa kama wako Dar tu
Post a Comment