MATOKEO Azam Fc vs Arta Solar mechi ya kirafiki

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Matajiri wa Chamazi, Azam Fc jana walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Arta Solar ya Djibout katika uwanja wa Azam Complex


Azam Fc iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo huo wa Kimataifa wa kirafiki kwa mabao ya Feisal Salum na Prince Dube


Arta Solar iko nchini Tanzania ikijiandaa na mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya Zamalek


Arta Solar inatumia uwanja wa Azam Complex kama uwanja wake wa nyumbani

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post