Man United waichapa Crystal Palace Carabao Cup

 Man United waichapa Crystal Palace Carabao Cup

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.


Timu ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Crystal Palace usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester. Mabao ya Manchester United jana yamefungwa na mshambuliaji kinda wa miaka 19, Muargentina Alejandro Garnacho Ferreyra dakika ya 21, kiungo Mbrazil Carlos Henrique Casemiro dakika ya 27 na mshambuliaji Mfaransa Anthony Jordan Martial dakika ya 55.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post