Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea tena leo Septemba 15, 2023 kwa mchezo mmoja wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambao utachezwa kwenye ardhi ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam.
Vigogo wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns almaarufu 'Wabrazil' watakuwa wageni wa klabu ya Bumamuru ya Burundi katika dimba la Azam Complex, Chamazi.
Klabu ya Bumamuru FC inatumia uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam Tanzania kama uwanja wake wa nyumbani.
Post a Comment