Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wenyeji, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumapili Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool.
Mabao ya Liverpool yamefungwa na Dominik Szoboszlai dakika ya tatu, Matthew Cash aliyejifunga dakika ya 22 na Mohamed Salah dakika ya 55.
Kwa ushindi huo, Wekundu hao wanafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya tatu, wakati Aston Villa wanabaki na pointi zao sita nafasi 11 baada ya wote kucheza mechi nne.
Post a Comment