Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Uongozi wa klabu ya Ihefu SC ya Mbarali umefikia uamuzi wa kuachana na kocha wake mkuu John Simkoko.
Simkoko anatimuliwa Ihefu baada ya michezo miwili tu ambayo wamepoteza mmoja na kushinda mchezo mmoja kwenye ligi kuu ya NBC Msimu huu.
Post a Comment