Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kibabage aliondoka nchini mapema kuelekea Tunisia kuungana na wachezaji wenzake wanaoendelea na maandalizi ya mchezo huo utakaopigwa Septemba 07
Anakuwa mchezaji wa nane katika wachezaji wa ndani wa Yanga walioitwa Taifa Stars
Wengine ni Metacha Mnata, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya, Jonas Mkude na Clement Mzize
Jumla ya wachezaji 12 wa Yanga ambao ni karibu nusu ya wachezaji wote wameitwa timu za Taifa
Post a Comment