Jwaneng Galaxy yatinga makundi CAFCL, Orlando Pirates yaaga mashindano

 Jwaneng Galaxy yatinga makundi CAFCL, Orlando Pirates yaaga mashindano

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Jwaneng Galaxy ya nchini Botswana imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuipndoa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini kwa mikwaju ya penati.


FT: Orlando Pirates 1:0 Jwaneng Galaxy


Aggregate (1-1)


Penalties (5-6)


Jwaneng Galax atakuwa pot namba 3 na iwapo Simba watapita hatua hiyo basi wanaweza wakakutana tena.


Ikumbukwe kuwa, Jwaneng ndiyo iliwatoa Simba Sc kwenye kuingia hatua ya makundi ya CAFCL msimu wa 2021/22 kwa faida ya bao la ugenini baada ya kuifunga Simba bao 3-1 katika Dimba la Mkapa wakati mchezo wa kwanza Simba walikuwa wamefunga bao 2-0.


Kigogo wa kwanza Afrika mapema tu ameyaaga mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, je, unadhani nani anafuata?


Michezo mingine itapigwa leo ikiwemo kati ya Yanga Sc ya Tanzania na Al Merrikh ya Sudan.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post