Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mabingwa watetezi, Manchester United wamepangwa dhidi ya Newcastle United iliyochuana nayo kwenye fainali ya kombe hilo msimu uliopita.
Washika Mitutu, Arsenal watachuana na Wagonga nyundo, West Ham United katika dimba la Emirates, Liverpool imepangwa dhidi ya Bournemouth huku Chelsea ikikutanishwa na Blackburn Rovers.
Manchester United vs Newcastle United
Arsenal vs West Ham
Liverpool vs Bournemouth
Chelsea vs Blackburn Rovers
Everton vs Burnley
Fulham vs Ipswich Town
Exeter vs Middlesbrough
Mansfield vs Port Vale
Post a Comment