Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Aucho alitua juzi kutoka Niger ambako aliiongoza Uganda Cranes kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Niger
Ushindi ambao hata hivyo haukuisaidia Uganda kufuzu michuano ya Afcon 2023, Tanzania ikifuzu baada ya kumaliza nafasi ya pili juu ya Uganda katika kundi F
Aucho ni miongoni mwa nyota 11 wa Yanga ambao walikuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa
Wachezaji tisa tayari wamerejea kambini huku Stephane Aziz Ki akitarajiwa kuwasili wakati wowote, mlinda lango Djigui Diarra huenda akachelewa
Leo Mali wanacheza na Ivory Coast ukiwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki
Usikose kutazama LIVE mechi ya El Merrikh vs Yanga na Dynamos power vs Simba mechi zote zitakuwa live kweñye app yetu kama bado huna app yetu 👉👉 BOFYA HAPA
Post a Comment