Gamondi, Maxi washinda tuzo Ligi Kuu August

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameibuka kuwa Kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi August 2023


Gamondi ameshinda tuzo hiyo ya kwanza msimu huu baada ya kuiongoza Yanga kupata ushindi katika mechi mbili za Ligi Kuu huku ikifunga mabao 10


Wakati Gamondi akishinda tuzo hiyo, kiungo mshambuliaji Maxi Nzengeli ameshinda tuzo ya mchezaji bora


Katika mwezi August, Maxi alifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao akihusika katika mabao matatu kati ya mabao 10 yaliyofungwa na Yanga

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post