Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Hata hivyo imeelezwa usajili wake haukukamilika ndani ya muda wa usajili hivyo ili kuweza kuitumikia Azam Fc katika mechi za mashandano, itamlazimu asubiri mpaka dirisha dogo la usajili
Djuma anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Azam Fc akitokea Yanga baada ya Feisal Salum na Yannick Bangala
Uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said ulishtukia mapema mpango Djuma na Bangala kuibukia Azam Fc baada ya Feisal
Wachezaji hao kila mmoja alikuwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga lakini baada ya msimu uliopita kumalizika wakawasilisha barua kwa uongozi wakiomba kuvunja mikataba yao
Yanga iliwawekea ngumu na kuwataka wafuate utaratibu kama wamepata timu na wakati huohuo wote wakaenguliwa kikosini
Azam Fc imelazimika kulipa pesa kununua mikataba ya wachezaji hao
Post a Comment