Breaking: Simba yapewa Al Ahly michuano ya CAF super league

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Droo ya michuano ya kwanza barani Afrika inayokutanisha vigogo African Football League imefanyika leo nchini Misri ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba watachuana na mabingwa wa soka Afrika, Al Ahly


Mchezo wa ufunguzi utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 Simba ikiwa mwenyeji na mchezo wa marudiano kupigwa Oktoba 24 huko Misri


Michezo mingine, Enyimba watachuana na Wydad Athletic wakati TP Mazembe watachuana na Esperance


Mchezo wa nne wa robo fainali ni kati Petro Atletico dhidi ya Mamelodi Sundowns


Mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Al Ahly atakutana na mshindi wa mchezo kati ya Petro Atletico dhidi ya Mamelod Sundows

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post