BREAKING: Mwakinyo agoma kupigana kesho - EDUSPORTSTZ

Latest

BREAKING: Mwakinyo agoma kupigana kesho

 Bondia Hassan Mwakinyo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kupitia akaunti rasmi ya Instahram ya bondia Hassan Mwakinyo (hassanmwakinyojr) ameandika;


"Binafsi, napenda sana Kushukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya nilionayo leo, pia niwashukuru sana washabiki zangu kwa kujitokeza kwa nguvu kuonyesha shauku ya kunisapoti, nawashukuru sana Azam TV kwa kuendelea kutoa nafasi. Kwetu kama wachezaji wa ndani naomba niweke hisia zangu wazi kwa mashabiki ya kuwa kesho sitaweza kupanda ulingoni kutokana na uongo na udanganyifu wa mapromota, binafsi sina tatizo na mtu ila pia naheshimu sana kazi yangu na siko tayari kuona watu wana nijaribu au kutaka kuharibu jina langu,"


Mwakinyo ametoa siku ya leo kutatuliwa changamoto aliyodai inakwamisha pambano hilo ili aweze kupigana kesho na bondia Julius Indongo wa Namibia baada ya kubadilishiwa mpinzani Rayton Okwiri.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz