Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Licha ya kwamba Al Merrikh waliweka kambi ya maandalizi ya msimu huu ‘Pre Season’ nchini Rwanda tangu mwezi uliopita, lakini hawana matokeo mazuri
Licha ya kwamba Al Merrikh waliweka kambi ya maandalizi ya msimu huu ‘Pre Season’ nchini Rwanda tangu mwezi uliopita, lakini hawana matokeo mazuri Merreikh ikiwa Rwanda ilicheza mechi tatu za kirafiki dhidi ya Bugasere ilipigwa 3-1, ikatoka suluhu na Chievo Sports na kisha kulala 1-0 kwa watetezi wa Ligi Kuu ya nchini humo, Rayon Sports.
Post a Comment