Yanga kuhitimisha pre-season na mechi mbili

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiweka sawa na mikiki mikiki ya msimu mpya


Wiki ijayo August 09 katika uwanja wa Mkwakwani, Yanga itaanza kampeni ya Ngao ya Jamii, nusu fainali dhidi ya Azam Fc


Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema maandalizi yanaendelea vizuri ambapo kikosi kinatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya kuelekea mkoani Tanga


"Maandalizi yetu yanaendelea vizuri, ari ya wachezaji iko juu kila mmoja akipambana kumshawishi Mwalimu (Gamondi) kumtumia katika kikosi chake"


"Tunatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kabla ya kuelekea mkoani Tanga katika mechi za Ngao ya Jamii," alisema Walter


Katika moja ya mechi hizo, huenda Yanga ikaumana na AS Vita ambayo iko nchini katika pre-season yao

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post