Viingilio; Yanga vs JKT Tanzania

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 kesho Jumanne, August 29 2023 Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam kumenyana na JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Mchezo muhimu kwa Yanga kwani matokeo ya ushindi yanaweza kuwahakikishia kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi


Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post