Viingilio; Simba vs Dodoma Jiji, NBC PL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kesho Jumapili, August 20 katika uwanja wa Uhuru, kikosi cha Simba kitashuka dimbani kumenyana na Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, mzunguuko wa pili


Simba imetangaza viingilio vya mchezo huo kuwa VIP A ni Tsh 15,000/-. VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-


Mchezo huo utapigwa saa 10 jioni Simba ikitumia uwanja wa Uhuru katika mechi zake wakati huu uwanja wa Benjamin Mkapa ukiwa umefungwa kwa ajili ya ukarabati.

Mechi itakuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua BOFYA HAPA


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post