Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili August 13 katika uwanja wa Mkwakwani
Viingilio hivyo ni kwa mechi zote mbili, Mzunguuko ni Tsh 20,000/- na VIP B ni Tsh 30,000/-
Mechi ya kwanza ya kusaka mshindi wa tatu kati ya Azam Fc dhidi ya Singida FG itapigwa saa 9 alasiri na kufuatiwa na mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa saa 1 usiku pia utakuwa live kwenye app yetu BOFYA HAPA SASA KUIDOWNLOAD
Post a Comment