Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo wajiandae kwa Tamasha kubwa la Simba Day ambalo halijapata kutokea
Simba ikiwa tayari imeuza tiketi zote siku tatu kabla ya Tamasha lenyewe, Try Again amesema tamasha hilo ni sherehe ya Wanasimba kufurahi pamoja na timu yao wakiukaribisha msimu mpya
Try Again amesema Wanasimba wanakwenda kushuhudia timu yao bora ambayo msimu huu imeweka malengo makubwa ya kushinda mataji
Post a Comment